
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiagana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na nchi hiyo, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akijibu swali la Mbunge wa Nkasi, Mhe. Aida Khenani aliyetaka kufahamu mkakati wa kumaliza changamoto ya upatikanaji umeme wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa.

Rais wa Zanziba na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya hafla ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni

Picha ya Kusah na Aunty Ezekiel

Picha ya Whozu
.jpeg?itok=eNz6d4t_×tamp=1706788996)
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya AngloGold Ashanti (AGA), Gillian Doran (kushoto) aliyemtebelea ofisini kwake wiki iliyopita. Anayefuata kushoto ni Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia/ushirika (Afrika), Simon Shayo pamoja na viongozi wengine wa GGML. Wakati wanaofuata kulia ni baadhi ya maofisa wa wizara ya fedha.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya AngloGold Ashanti (AGA), Gillian Doran aliyemtebelea ofisini kwake wiki iliyopita. Anayefuata kushoto ni Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na masuala ya ubia/ushirika (Afrika), Simon Shayo pamoja na viongozi wengine wa GGML. Wakati wanaofuata kulia ni baadhi ya maofisa wa wizara ya fedha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria kuzindua kitabu cha Muongozo wa Utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam tarehe 31 Januari 2024.