Name: 
Veronica Mtengwa.
Mimi ni mwanamke najiamini na najivunia kuwa mtanzania ni haki yangu kumchagua kiongozi ninayemtaka, na wewe fanya kama mimi. #ZamuYako2015
Category: 
Hamasisha