Ukiwa mwezi wa kusherekea wanawake ndani ya Planet Bongo Mwasiti akiongelea kuhusu changa moto za wanawake kwenye tasnia ya mziki wa Bongo Flava, na nini kina hitaji kubadilika.