Usaili wa pili wa #Dance100 utafanyika viwanja vya Don Bosco Upanga siku ya Jumamosi ya wiki ijayo, kama wewe ni dancer usikose kufika.