Je unamfahamu Model wa kiume anayetikisa tasnia ya mitindo Tanzania? Usikose kuangalia Nirvana Jumanne hii sa moja usiku kwa mahojiano na Danny Msuya Model anayekuja kwa kasi hapa Tanzania