Mjadala ni juu ya timu ya Mgambo JKT ya Tanga iliyofanikiwa kuchukua points 6 kutoka kwa timu za Simba na Yanga huku ikiwa bado ipo katika nafasi ya nne kutoka mwisho