Submitted by Sophia on Wednesday , 25th Jun , 2014Tunaangalia fainali za kombe la Dunia la FIFA zinazoendelea nchini Brazili na mafunzo waliyopata wachezaji, makocha na waamuzi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.