Name: Hussein Nindi.Napenda kuwaambia watanzania tusikurupuke, tuchague kiongozi anaefa na sio bora kiongozi kwani tutajuta baadae ndugu zangu. Category: Hamasisha