Naitwa George a.k.a Temuthe Son nikiwa na Joseph pande za Moro holla 5 kwa washikaji wote wa Kitengo pande za Mazimbu na wote wanaotufaamu halowwwwwwww 5 ...... eNewz, hakuna kama wewe.
Dj Ken
Hey,Dj Ken hapa kutoka Makonde Royal Night Club Mtwara kisima cha burudani.. halaaah kwa washkaji wote wa Mtwara!!Hapana chezeaaaa!!.
Benny Kalonga
Hallo kwa wote wanaonijua, nawapenda sana na nimerudi tena kuwakimbiza kama kawa kama dawa, nakuwashika wale mafisadi wa maneno machafu, chezea Real Model wa TSJ Benny Kalonga wewe utakunywamaji ya mvua hala 5.