Leo kwenye FRIDAY NIGHT LIVE kuna bonge la exclusive kutoka kwa mzee wa commercial Ambwene Yesaya A.Y kumbuka ni muda mrefu sana kwenye TV yako sasa ni leo kwenye FNL kuanzia saa 04:00 usiku hadi saa 6:00 usiku hapa EATV. Usikose.