Submitted by Bhoke on Tuesday , 8th Apr , 2014Wiki hii Friday Night Live ni 'double dose' kutoka kwa DJ Mkali wa East Africa radio wanamuita 'The Bull Dog' atawakilisha vyema kwenye session ya chata na pia ataongelea ile show yake matata East Africa radio 'Afro Sunday' Si ya Kukosa hii