Submitted by Bhoke on Monday , 31st Mar , 2014Wiki hii yule DJ mkali Afrika mashariki DJ AD Mafuvu atakuwepo kwenye 'turntables' akisababaisha ile 'session' ya Chata, nadhani makeke yake wote tunayafahamu wiki hii anasema usikae mbali na runinga na redio yako sa nne usiku!