Shilole atakuwepo ndani ya Friday Night Live kufunguka kuhusiana na video yake mpya ya 'Say My Name' pia akifunguka kuhusu majigambo ya Zena 'Jike Shupa' baada ya video ya Nuh kutoka.