Submitted by Dickson on Friday , 2nd Oct , 2015Tutakuwa na Mabeste na mke wake 'Lisa Karl Fickenscher', wataongelea juu ya misuko suko ya maisha waliyo ipitia pia nakukupa Exclusive ya video yake mpya ndani ya Friday Night Live.