Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 5 nina kaka 3 na dada 1
Ninaishi KWANGU na MCHUMBA
Mtaani kwangu najulikana kwa KIZAI ZAI
Mimi nimesoma mpaka FORM 3
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUSUKA
Mafanikio katika Fani:
Mafanikio niliyoyapata ni kulipia ada ya mtoto pia na kusaidia nyumbani vitu vidogo vidogo pia kujisaidia mwenyewe mambo yangu pia najitegemea nakaa kwangu na kumsimamia mtoto shule.
Year: