Jina lake halisi anaitwa Mwanahawa Abdu Juma. Amezaliwa na kulelewa Ilala, Dar es Salaam. Ni msanii wa muziki miaka mingi na mwenye swagg za kigumu kidogo na kidada kidogo. Hapendi Kokoro. Anapenda kula, kuogelea, kuimba na kucheza.