Submitted by Ndimbumi on Monday , 21st Jul , 2014Baada ya kuona usaili wa kwanza ndani ya viwanja vya Don Bosco Upanga, kaa tayari kuona usaili wa pili na kufahamu makundi yatakayojitokeza na yatakayofanikiwa kuingia Robo fainali ya Dance 100% (2014).