Submitted by Barnabas on Thursday , 27th Mar , 2014
Baada ya kupoteza muelekeo kwa kukubali sare dhidi ya Azam Fc, mabingwa wa soka nchini Dar es salaam Young Africans watatokea wapi kuweza kutetea ubingwa waliochukua msimu uliopita? Usikose Jumatatu saa 1 usiku.