Tutaendelea kushiriki maendeleo Afrika - Uingereza
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Marriane Young ameweka wazi kuwa Uingereza itaendelea kushiriki katika Progaram mbalimbali za kimaendeleo na misaada nchini Tanzania na barani Africa huku akisema wanafuatilia kinachofanywa na Marekani kwa baadhi ya nchi Africa

