Luteni feki wa jeshi akamatwa Simiyu

Luteni feki wa JWTZ

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata Emmanuel Mapana (24) maarufu kwa jina la Mchambi, mkazi wa mtaa wa Sima, wilaya ya Bariadi, akiwa na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania zenye cheo cha Luteni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS