BVR Arusha yageuka fursa ya kujingizia kipato
Zoezi la uandikishwaji wapiga kura kwa njia ya mashine za Biometrick Voters Registration mkoani Arusha, laingia katika sura mpya ya baadhi ya waandikishwaji kuuza nafasi zao kwa shilingi 25,000 na 30,000.

