Wananchi Dodoma watakiwa kusalimisha silaha
Mkuu wa kituo cha Polisi Wilaya ya Chamwino, OCD Atubone Mwakalukwa ametoa siku kumi kwa wananchi wa kijiji cha Ilangali kilichopo kata ya Manda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma kuzisalimisha silaha wanazomiliki kinyume cha sheria kabla msako mkali.

