Black Rhino arejea 'kikubwa'
Black Rhyno, star wa muziki wa Bongofleva ambaye amerejea kwa nguvu kubwa katika game ya muziki Bongo, ameweka wazi nguvu kubwa aliyotumia kuunganisha vipaji katika sanaa ya michano, project yake mpya ikikutanisha kipaji vikubwa kabisa Afrika.

