Mashindano ya wazi Tenisi yaingia Robo fainali leo
Mashindano ya Taifa ya wazi ya mchezo wa Tenisi yameingia katika hatua ya robo fainali huku kukiwa na changamoto ya kiushindani kwa kila mchezaji kuweza kuonyesha uwezo wake binafsi alionao kwa kucheza vizuri zaidi.

