Waziri Jafo awataka wadau kusaidia serikali.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi ,Utumishi na Utawala Bora Mhe. Suleiman Jafo amewataka wadau mbalimbali kuisaidia Serikali katika utatuzi wa changamoto ya Majengo na Vifaa vya maabara ili kuleta matokeo mazuri katika sekta ya elimu nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS