Mahakama yamthibitisha Ali Bongo, Rais wa Gabon
Mahakama ya katiba nchini Gabon imethibitisha kuwa Ali Bongo ndiye mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Agosti 27 nchini humo baada ya Upinzani uliwasilisha malalamiko kupinga matokeo ya awali ya uchaguzi.