Nyoshi ataka mashabiki wa muziki wamkate miguu Nyoshi El Sadat Msanii wa band ya FM Academia Nyoshi El Sadaat amesema wanategemea kuachia nyimbo mbili ambazo zimepewa majina 'Nakuita' na 'mama wa Kambo' ambazo ndizo zitakuwa kwa ajili ya mwaka huu 2017. Read more about Nyoshi ataka mashabiki wa muziki wamkate miguu