Magufuli aibua uozo mpya bandarini

Magari 50 ambayo mmiliki hajajulikana yamekamatwa bandarini na Rais Magufuli alipofanya ziara bandarini hapo, akitokea kwenye meli ya madaktari bingwa kutoka China.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS