Je, rekodi ya Kipchoge inatambulika duniani? Eliud Kipchoge Mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge, amekuwa mtu wa kwanza katika historia ya mbio za Marathon duniani, kukimbia kilomita 42 kwa muda wa chini ya dakika mbili. Read more about Je, rekodi ya Kipchoge inatambulika duniani?