Mbowe azungumzia CHADEMA kususia uchaguzi
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema chama hicho kamwe hakitasusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwataka Watanzania kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ili waweze kushiriki uchaguzi huo.

