Mwendo wa Ndayiragije na Stars unavyoacha maswali Kocha Etienne Ndayiragije Jana imeshuhudiwa sare nyingine ya kikosi cha Taifa Stars katika mechi za hivi karibuni, baada ya kutoka suluhu ya bila kufungana na wenyeji Rwanda katika mchezo wa kirafiki. Read more about Mwendo wa Ndayiragije na Stars unavyoacha maswali