'Sikwenda kanisani kutafuta kiki' - Gigy Money
Msanii Gigy Money ameimbia EATV & EA Radio Digital, kuwa tukio lake la kwenda kanisani hakuwa anatafuta kiki kama watu walivyoshangaa na kulizungumzia, pia amefunguka kuhusu kudhalilika wakati akiwa kwenye siku zake kama mwanamke.

