Jumatatu , 10th Mei , 2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kutoa taarifa haraka sana juu ya sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga na taarifa hiyo iwe na hatma juu ya viingilio vya watu waliokuwa wamelipa pamoja na lini mechi hiyo itachezwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Majaliwa amezungumza hayo leo Mei 10, 201 Bungeni jijini Dodoma ikiwa ni siku moja baada ya mechi hiyo ambayo ilipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Mkapa  Dar es salaam, Mei 8, 2021 kuahirishwa.

Tazama Video hapo chini