Jumatatu , 4th Oct , 2021

Mhandisi mmoja nchini Kenya, amebuni mashine inayoweza kupika kilogram 10 za ugali ndani ya dakika tatu.

Mashine inayosonga ugali

Kupitia video inayosambaa mitandaoni, inamuonesha mwanaume huyo akisonga ugali kwa kutumia mashine hiyo inayoonesha kurahisisha zoezi la usongaji wa ugali ikilinganishwa na mwiko wa kawaida.