Picha ya msanii Meja Kunta
"Tunatafuta connection za nje ili muziki ukue tunajiimbia sana sisi, natamani siku moja nione singeli tunaimba kwa kiingereza tu kama ni lugha watu wanajifunza, kuongea kiingereza na wazungu ni rahisi sana"
Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.