Jumanne , 14th Jun , 2022

The Melanin Queen Saraphina Tz ameweka wazi kwamba yupo single na husiano lake kuu ni Mungu na mziki kwa sasa. 

Picha ya msanii Saraphina

Pia ametaja sifa na vigezo vya mwanaume anayemtaka kwenye mahusiano kwanza awe anamsapoti na kuelewa kitu anachofanya sio kumrudisha nyuma na kumpa stress. 

Zaidi tazama hapa kwenye video.