Jumatano , 15th Jun , 2022

Kwa asilimia 100 msanii Nay Wa Mitego ameweka wazi kuwa yeye ni mbahili na hajawahi kuhonga pesa yake kumpa mwanamke.

Picha ya Nay wa Mitego

Nay Wa Mitego ameongeza kusema hana historia ya kuhonga pesa lakini akimpenda mwanaume anamhudumia.

Zaidi tazama hapa kwenye video.