Jumapili , 22nd Mei , 2022

Msanii Enock De Base amesema yeye ni Icon kwenye Industry ya mziki wa Tanzania hivyo sio mbaya msanii mwingine kumuiga sauti yake kwa sababu watu wanapenda anachofanya.

Picha ya Enock Bella akiwa na mke wake

Enock amejibu hilo baada ya msanii mpya wa Yamoto Band kusikika akiimba kwa sauti ya base kama yake.

Zaidi tazama hapa kwenye video.