Jumatano , 27th Apr , 2022

Malkia wa mipasho Tanzania Khadija Kopa amekutana na kamera za EATV na EA Radio Digital kujibu taarifa za mtoto wake Zuchu kuhusishwa kuwa na mahusiano na Diamond Platnumz.

Kushoto ni Khadija Kopa, kulia ni Diamond na Zuchu

Pia amefunguka kuhusu mahari ya Zuchu ambapo amesema hata kwa msaafu anaweza kumuozesha mtoto wake.

Interview nzima na Khadija Kopa tazama hapa kwenye video.