Ijumaa , 29th Apr , 2022

Ni headlines za The African Giant Burna Boy ambaye mashabiki wa kike Jijini New York nchini Marekani wamemtunza zawadi ya sidiria wakati ana-perform kwenye tamasha la 'One Night In Space' Madison Square Garden. 

Picha ya Burna Boy akiwa ameshika sidiria aliyotunzwa

Mashabiki hao wamempa Burna Boy sidiria zao baada ya kukoshwa na performance yake ambayo alikuwa akiimba live na kucheza.