Jumanne , 13th Jul , 2021

Kupitia East Africa Radio/Tv na Digital, Nyota wa muziiki wa kizazi kipya Bright ameweka wazi kuwa amezama kwenye penzi zito kwa mtoto wa fundi wa muziki wa dansi Nyoshi El Saadat, na kuahidi kuwa mambo yakienda sawa basi tutarajie ndoa yao.

Picha ya Msanii Bright

Kwenye mahojiano na msanii huyo amefunguka kuwa hata wimbo wake mpya “Demu Wangu” aliouachia siku za hivi karibuni ameamuwa kuu-dedicate kwa mpenzi wake huyo.

Msikilize zaidi hapa