Alhamisi , 22nd Dec , 2022

Mbunge wa Jimbo la Muheza Tanga na msanii wa HipHop Mwana Fa ameshea ujumbe kuhusu barua ya BASATA kwenda kwa msanii wa singeli Dulla Makabila kujadiliana juu ya wimbo wake mpya wa pita huku.

Picha ya Mwana Fa kushoto, kulia ni Dulla Makabila

Mwana Fa ameeleza kuwa anaamini BASATA hawatafanya maamuzi ya kumkandamiza msanii huyo kwa sababu ya ubunifu mkubwa uliotumika kwenye wimbo huu.

Zaidi tazama hapa kwenye video kusikia ujumbe mzima alioshea Mwana Fa.