Aogopa kifo kisa kuacha chips mayai

Alhamisi , 9th Sep , 2021

Msanii Full Tank ametoa kali ya mwaka kwa kusema anaogopa kifo cha mapema kwa sababu ataacha vitu vizuri kama chips mayai au chips kuku.

Picha ya Full Tank

Akipiga stori na eNewz ya East Africa TV, Full Tank anasema "Mimi suala la kufa mapema siliwezi kwa sababu nawazia vitu vingi sana, mfano leo hii unakufa mtu unaacha vitu vizuri kama misosi chips mayai au chips kuku

"Namuomba sana Mungu niishi kwa muda mrefu lakini kifo cha kujitakia sitaki hata siku moja" ameongeza