Ijumaa , 20th Mei , 2022

Wananchi wa mtaa wa Mwatulole Halmashauri ya Mji wa Geita wameshtushwa baada ya kukuta kuku wakifukua kitu kinachosadikiwa kuwa ni kiumbe (Mimba iliyotolewa) na mtu asiyejulikana

Mwenyekiti wa mtaa huo Noel Ndasa amekiri kutokea kwa tukio hilo ambalo ni mara ya pili kutokea kwenye mtaa huo

Baadhi ya wakazi mtaa huo wanasema chanzo cha kuokota kichanga hiko yawezekana wakazi wanaohamia bila kutoa taarifa zao sahihi