Jumapili , 14th Nov , 2021

Baadhi ya vibanda vya wamachinga vilivyopo eneo la Mwenge barabara ya Cocacola vimeteketea kwa moto.

Moto wakati unawaka

Hata hivyo Jeshi la Zimamoto limefika eneo la tukio na kufanikiwa kudhibiti moto huo ili usienee kwenye vibanda vingine.

Zaidi tazama video hapa