Ijumaa , 14th Mei , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

Lengai Ole Sabaya

Taarifa ya Ikulu iliyotolewa Mei 13, 2021 imeeleza undani.