Jumapili , 16th Jan , 2022

Soko la Karume lililopo Ilala jijini Dar es salaam, limeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 16, 2022. Chanzo cha moto bado hakijajulikana. Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi.

Moto ukiwaka ndani ya Soko la Karume

Tazama hali ilivyo kwenye soko hilo