Serikali kufanya mazungumzo na Airtel

Thursday , 11th Jan , 2018

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imebaini kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika ubinafisishwaji wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwenda kwa Celtel, Zain na baadaye Airtel hivyo wanataka kufanya mazungumzo na Airtel.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema hayo leo Januari 11, 2018 wakati akikabidhi ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza umiliki wa kampuni Airtel na kusema kuwa wamegundua kulikuwa na uozo mkubwa uliopelekea nchi kupata hasara kubwa. 

Recent Posts

Mwanafunzi Aqulina Akwilini Baftaha aliyeuawa na poilisi

Current Affairs
CCM yatoa kauli yake kuhusu kifo cha mwanafunzi