Jumapili , 28th Nov , 2021

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajia kuwasili wilayani Chato Novemba 29, 2021 kwaajili ya kumkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan shule ya msingi Museveni ya mchepuo wa Kiingereza iliyojengwa na serikali ya Uganda.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni (kushoto) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu (kulia)

Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemary Senyamule ameeleza.

Tazama Video hapo chini