#ZamuYako2015

Error message

  • Warning: Illegal offset type in isset or empty in DrupalCacheArray->offsetGet() (line 365 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: array_key_exists(): The first argument should be either a string or an integer in DrupalCacheArray->offsetGet() (line 365 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in isset or empty in SchemaCache->resolveCacheMiss() (line 3288 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in SchemaCache->resolveCacheMiss() (line 3289 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: Illegal offset type in DrupalCacheArray->persist() (line 403 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tusiache kupiga kura. #zamuYako2015
Monica Mkara
Hamasisha
X
Tusiache kupiga kura. #zamuYako2015
Watanzania wote waliojiandikisha tujitokeze kwa wingi tarehe 25 October ili tuweze kumpata kiongozi ambae ataweza kutatua kero za wanyonge.
Tusifanye makosa mwaka huu.
Rajabu hemed
Hamasisha
X
Tusifanye makosa mwaka huu.
Watanzani tuchague viongozi bora kwa ngazi zote Rais, Wabunge na Madiwani na sio wafate mkumbo
Tuchague viongozi sahihi.
Upendo Jonath
Hamasisha
X
Tuchague viongozi sahihi.
Watanzania ni zamu yetu kufanya maamuzi sahihi ya kumchagua kiogozi atakaye tufaa sio kwa manufaa yake mwenyewe bali kwa manufaa ya watanzania wote.
Vijana ni zamu yetu sasa, Kapige kura.
Emmanuel Mremi.
Hamasisha
X
Vijana ni zamu yetu sasa, Kapige kura.
Watanzania wenzangu 25 October tujitokeze kupiga kura nasio ushabiki tu usio na tija. #NizamuYako2015 kijana kwa taifa lako.
vijana tuhamasishe amani siku ya uchaguzi.
Leonard Chawala
Hamasisha
X
vijana tuhamasishe amani siku ya uchaguzi.
vijana wezangu tusifate mkumbo wakusababisha matatizo yoyote wakati wa kupiga kura hasa uvunjifu wa amani.
Tufanye uchaguzi kwa Aman. #ZamuYako2015
Amoni kapingo
Hamasisha
X
Tufanye uchaguzi kwa Aman. #ZamuYako2015
Napenda kuwasihi watanzania tufanye uchaguzi kwa amani.
Tunahitaji kiongozi atakaweza kukuza uchumi wa nchi yetu.
Frederick Julius Mchande.
Hamasisha
X
Tunahitaji kiongozi atakaweza kukuza uchumi wa nchi yetu.
Watanzania tujitokeze kwa wingi 25 octoba kuchagua kiongozi mwenye uwezo wakuondolea umasikini na kutupatia elimu kwani elimu ni ufunguo wa maisha.
Kura ni haki yako ya msingi.
Jerry Benson
Hamasisha
X
Kura ni haki yako ya msingi.
Tanzania ikipata maendeleo ni kwa faida yako na vizazi vyako vyote, piga kura kuwachagua viongozi wenye sera za kuleta maendeleo.
Kura yako moja ni muhimu sana.
Kanyana Gerald .
Hamasisha
X
Kura yako moja ni muhimu sana.
Vijana inatakiwa tusirudishwe nyuma na mipango ya viongozi wasioiyona Tanzania mpya, kumbuka kura yako ni ya muhimu.
Nchi ni yetu tunahitaji kuibadilisha. #ZamuYako2015
AMOSI KOMANYA.
Hamasisha
X
Nchi ni yetu tunahitaji kuibadilisha. #ZamuYako2015
Nawaomba watanzania tuchague Kiongozi mwenye Sera za maendeleo ya nchi yetu.
Tunahitaji mabadiliko, tupige kura kupata viongozi mahiri.
Emanuel George
Hamasisha
X
Tunahitaji mabadiliko, tupige kura kupata viongozi mahiri.
Watanzania Tunahitaji mabadiliko Makubwa katika Nchi yetu hivyo basi tuchunguze kiongozi mchapakazi na mwanga Atakayetujengea daraja la Mafanikio Nchini Mwetu.
Tusiache kupiga kura.
Mary Eliud.
Hamasisha
X
Tusiache kupiga kura.
Napenda kuwaomba wananchi wenzangu kulinda Amani ya nchi yetu, pia kupiga kura kwa haki bila kufata mkumbo.
Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba.
AYUBU
Hamasisha
X
Tufanye maamuzi sahihi ifikapo Octoba.
Napenda kuwaambia watanzania, sisi ndio tunaoteseka, kwahiyo 25 octoba tufanye maamuzi sahihi kumchagua kiongozi sahihi kwa watanzania ili tusijutie baadae.
Huu ni wakati wa mabadiliko.
HAMIC RASHID
X
Huu ni wakati wa mabadiliko.
Naomba kila mtanzania apige kura kumchagua kiongozi bora, huu ni wakati wa mabadiliko.
Ni haki ya kila mtanzania kupiga kura.
Angal f. Maincha.
Hamasisha
X
Ni haki ya kila mtanzania kupiga kura.
Ni haki ya kila Tanzania kuchagua kiongozi anaemfaaa, pasipo kushurutishwa.
Tudumishe amani kipindi hiki cha uchaguzi.
stanley mwasaga
Hamasisha
X
Tudumishe amani kipindi hiki cha uchaguzi.
Tupige kura kwa amani, tudumishe amani tuliyonayo tukiipoteza inatugharimu sana na watu kupoteza maisha kama tulivyoona nchi za wenzetu.
Tuwe makini katika kuchagua viongozi.
scolastica Emanuel
Hamasisha
X
Tuwe makini katika kuchagua viongozi.
Tuchague kiongozi bora atakae iletea nchi yetu maendeleo na kututetea wananchi wa hali ya chini.
Huu ni mwaka wa mabadiliko.
Bavon bavon
Hamasisha
X
Huu ni mwaka wa mabadiliko.
Tusiishie maneno tu bali tushiriki katika zoezi zima la upigaji kura siku itakapo fika ili tuweze kumchagua kiongozi bora.
Tuchague kiongozi bora.
Novatus
Hamasisha
X
Tuchague kiongozi bora.
Ningependa kuwaambia watanzania wenzangu tuchague kiongozi bora ambae ataleta maendeleo na kukuza uchumi wa nchi.
Vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko.
Lamerckism Theoristy.
Hamasisha
X
Vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko.
Mimi kama kijana nina haki ya kuchagua kiongozi anaenifaa, kwahiyo kura yangu ni maamuzi yangu, vijana wenzangu huu ndo muda wa kufanya mabadiliko.
Tusikilize sera za wagombea kisha tufanye uchaguzi sahihi.
Alfa Ndosi
Hamasisha
X
Tusikilize sera za wagombea kisha tufanye uchaguzi sahihi.
Tusikilize hoja na tuchague kiongozi atakayeweza kutetea masilahi ya watanzania na sio kutuacha katika hali ngumu ya maisha.